Stars yapania kuiduwaza DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Nov 2021
Stars yapania kuiduwaza DR Congo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inaendelea kujifua uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya DR Congo

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi Novemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kukaribia nafasi ya kutinga raundi ya mwisho ya mtoano

Baada ya mchezo huo, Tanzania itasafiri kwenda Madagascar kukamilisha mchezo wa mwa mwisho dhidi ya wenyeji Madagascar

Ushindi Alhamisi na ushindi katika mchezo dhidi ya Madagascar ambao utapigwa Novemba 14, unaweza kuivusha Stars raundi ya mwisho ya mtoano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’