Yacouba tayari kuanza matibabu Tunisia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2021
Yacouba tayari kuanza matibabu Tunisia

Mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne amewasili Tunisia tayari kuanza matibabu ya goti aliloumia kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting

Yacouba ameongozana Tunisia na mtaalamu wa viungo Youssef Mohamed ambaye amesema leo wataonana na Profesa ambaye atasimamia matibabu ya Yacouba

Youssef amesema ratiba hiyo itaanzia katika vipimo vingine vitakavyofanywa na daktari Dahmane Jeleleddine ambaye ni daktari maalum kwa matibabu ya magoti pekee

Muda ambao Yacouba atakuwa nje utafahamika baada madaktari hao wanaomtibu kutoa ripoti yao baada ya kumfanyia vipimo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’