Kikosi cha Yanga kimekamilisha ratiba yake visiwani Zanzibar wakiondoka kurejea Dar se salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa Jumamosi ijayo, Novemba 20 katika uwanja wa Ilulu, Lindi






ADVERTISE HERE