Pengine vijana wa kizazi kipya hawawezi kuelewa kwanini, Yanga imeitwa timu ya Wananchi
Yanga ilileta hamasa sana katika nchi na kusaidia kuunganisha wananchi kipindi cha kupigania uhuru wa nchi
Huko nyuma yalifanyika majaribio kadhaa ya kuizima Yanga lakini ilishindikana! Yanga inabeba taswira halisi ya umoja!
ADVERTISE HERE