Azam FC imefanikiwa kuhifadhi taji la Mapinduzi kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuichapa URA kwa mikwaju 4-3 ya penati baada ya suluhu ya bila kufungana.
Kipa wa Azam Razak Abalora alifanikiwa kuzuia mikwaju miwili ya URA.
Azam FC ingeweza kuondoka na ushindi kwenye muda wa kawaida kama ingezitumia nafasi zake ilizotengeneza kwenye mchezo huo.
Hongera Azam FC kwa kuilinda heshima ya Tanzania kwa kuhakikisha taji hilo linabaki nchini.

ADVERTISE HERE