Mshambuliaji Ditram Nchimbi anatarajiwa kujiunga na Geita Gold pale mkataba wake na Yanga utakapokamilika, imefahamika
Nchimbi tayari ameondoka kwenye kikosi cha Yanga, akiwa amewaaga wachezaji wenzake
Mkataba wake na Yanga utafikia tamati Disemba 15 huku Yanga ikiwa haijaonyesha nia ya kumuongezea mkataba
Nchimbi alitua Yanga mwezi Disemba 2019 akitokea klabu ya Azam FC, wakati huo akiichezea Polisi Tanzania kwa mkopo
Katika miaka miwili aliyoitumikia Yanga amefunga mabao matano
ADVERTISE HERE