Bwire aomba sapoti ya Wananchi Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2021
Bwire aomba sapoti ya Wananchi Mwanza

Wakati Wananchi Yanga wakitarajiwa kushuka uwanjani Jumamosi Novemba 20 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Ilulu, Lindi watani zao Simba watakuwa mkoani Mwanza siku ya Ijumaa kuwakabili maafande wa Ruvu Shooting aka Barcelona ya Bongo

Afisa Habari wa Ruvu Shooting Massau Bwire amewataka mashabiki wa Yanga mkoani Mwanza kujitokeza kwa wingi kuwaunga mkono katika mchezo huo

Bwire amesema wamejipanga kupata ushindi dhidi ya Simba na kwa kuwa ushindi wao utapeleka furaha Jangwani, hivyo Wananchi wanapaswa kuungana nao siku ya Ijumaa

"Kutakuwa na nafasi kwa ajili ya wenzetu wa Yanga. Najua watapenda kuona Barcelona Bongo inashinda dhidi ya Real Madrid ya Bongo hivyo nawaambia waje kwa wingi, tuungane kwenye hili ili...!,' alisema Bwire

Wananchi wa Mwanza naamini mmeusikia wito wa Massau Bwire...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’