Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto yuko tayari kukwea pipa kuelekea mkoani Lindi ambako Jumamosi wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu na NBC dhidi ya Namungo Fc
Mwamnyeto alikuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kule Madagascar ambako alifanyiwa 'fitna' asiweze kucheza kwa madai kuwa ana maambukizi ya covid-19
Yanga inaondoka leo Alhamisi asubuhi kuelekea Lindi ambao watacheza na Namungo Fc Jumamosi
Wananchi wamedhamiria kuendeleza wimbi la ushindi wakiongoza ligi baada ya kushinda michezo yote mitano
ADVERTISE HERE