Baada ya mchezo dhidi ya Namungo Fc uliopigwa uwanja wa Ilulu jana na Yanga kulazimishwa sare ya bao 1-1, kikosi kimeondoka mkoani Lindi kurejea jijini Dar es salaam
Yanga inarudi kujipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata ambapo wananchi watasafiri mkoani Mbeya kuikabili timu ngumu ya Mbeya Kwanza katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sokoine



ADVERTISE HERE