Uongozi wa klabu ya Yanga umepokea hukumu ya kesi ya mchezaji Bernard Morrison, wakiridhia uamuzi wa CAS juu ya rufaa waliyokuwa wamekata dhidi ya mchezaji huyo
Yanga imewataka Wapenzi wa Wanachama wake kutoyumbishwa na maamuzi yaliyotolewa, sasa ni wakati wa kusonga mbele
ADVERTISE HERE