Kampuni ya GSM imeingia Makubaliano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwa Mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC
Wale walioanzisha mjadala wa 'Fair Competition' wiki iliyopita hawapaswi kukosa hii!
Maendeleo ya mpira wa miguu yatasimamiwa na wale wenye dhamira ya dhati!
GSM Group wametoa Tsh Billion 2.1 kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara
Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said amesema GSM sasa anakuwa mdhamini mweza wa Ligi kuu ya NBC, wakisaini mkataba wa miaka miwili na TFF
ADVERTISE HERE