Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine, saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE