Sijui kama watatoka salama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2021
Sijui kama watatoka salama

Ilikuwa Septemba 25 pale uwanja wa Benjamin Mkapa Fiston Mayele alipoweka kambani bao pekee lililoihakikishia Yanga ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii

Mpira ulianzia nyuma kwa mlinda lango Djigui Diarra aliyepiga mpira mrefu uliotua kichwani kwa Farid Mussa ambaye aliwatoka walinzi wa Simba kabla ya kumtengea Mayele kufunga bao hilo lililoihakikishia Yanga Ngao ya Jamii

Disemba 11 watani hao wa jadi wanakutana tena kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu

Yanga itaingia kwenye mchezo huo ikijivunia ubora wa kikosi chake, Mayele akiwa miongoni mwa wachezaji hao

Disemba 11 Simba wanakwenda kukutana na Yanga tofauti kabisa na ile waliyocheza nayo Septemba 25

Ni timu iliyoimarika zaidi ikiwa imefunga angalau bao moja katika kila mchezo waliocheza tangu Septemba 25

Yanga wanayokwenda kukutana nayo Septemba 25 haijapoteza mchezo wowote tangu iliposhinda mchezo huo wa Ngao ya Jamii

Ni Yanga yenye kiu ya mataji hasa ligi kuu baada ya kukosa ubingwa kwa misimu minne mfululizo

Wananchi wenyewe wanasema hiki ndio kipindi chao cha kulipa kisasi na kumaliza machungu yote waliyopitia katika misimu minne iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’