GSM mbioni kudhamini Championship, Ligi daraja la pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2021
GSM mbioni kudhamini Championship, Ligi daraja la pili

Wakati wanaotajwa kuwa wadau wamepeleka malalamiko FCC kuhoji udhamini wa GSM ligi kuu ya NBC, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said amesema wako katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa udhamini wa Championship na ligi daraja la pili

Hersi amesema GSM wanaunga mkono jitihada za Serikali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kuboresha mchezo wa mpira wa miguu nchini

"Sisi wadhamini tuna imani kubwa sana na TFF na TPLB. Kwa muktadha huo, tutaendelea kuweka fedha za udhamini katika kuunga jitihada za TFF, Wizara yenye dhamana ya michezo na serikali yetu chini ya Raisi wetu, Mh. SAMIA SULUH HASSAN," alisema Injinia Hersi

Aidha, Hersi amempongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Steven Mnguto kwa kutetea kiti chake kwa kipindi kingine cha miaka minne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’