Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo aliwapeleka vijana wake Gym kwa ajili ya program maalum ya mazoezi asubuhi








ADVERTISE HERE