Bodi ya Ligi Kuu imemtangaza Mwamuzi Herry Sasii kuwa ndiye atakayechezesha mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa Disemba 11 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Mwamuzi Msaidizi namba moja ni Kassim Mpanga na Mwamuzi Msaidizi namba mbili ni Hamdan Said wote kutoka jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE