Mapinduzi Cup kuanza Januari 02 2022

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2021
Mapinduzi Cup kuanza Januari 02 2022

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2022 yanatarajiwa kuanza rasmi January 2, 2022 kwenye Uwanja wa Amaan ambapo jumla ya timu 10 zitashiriki katika Mashindano hayo

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Imane Duwe amesema Mashindano hayo yamejumuisha timu 10, nne kutoka Tanzania bara ambazo ni Yanga (Mabingwa Watetezi), Simba, Azam na Namungo huku timu 6 zikitarajiwa kutoka Zanzibar ambazo ni KMKM, Mlandege, Taifa ya Jang'ombe, Meli nne City, Selem View na Yosso Boys.

Amesema wanatarajia kuyapanga makundi 3 ambapo kila kundi litakuwa na timu 4 huku wakisubiria uthibitisho wa mwisho ili kuyapanga makundi hayo matatu.

Yanga ndio Mabingwa Watetezi wa Mashindano hayo kufuatia kuwafunga Simba kwa penalty 4-3 baada ya dakika 90 kutoka sare ya 0-0 Fainali iliyochezwa January 13 mwaka huu (2021)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’