Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Ari na morali ya wachezaji inaonekana kuwa juu, wanautaka kwelikweli mchezo wa Jumamosi




ADVERTISE HERE