Kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, viongozi waandamizi wa Yanga wakiongozwa na Injinia Hersi Said, leo wameshiriki zoezi la kujitolea damu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwa ni Sehemu ya kurudisha kwa jamii




ADVERTISE HERE