Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Ulikuwa ni mchezo wenye taswira halisi ya dabi, kila timu ikipambana kusaka alama tatu
Yanga ilitengeneza nafasi kadhaa za kuweza kufunga lakini haikuwezekana kuweka mpira kambani hali ikiwa hivyo kwa Simba pia
Alama moja sio haba kwa Yanga kwani wanaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 20
ADVERTISE HERE