Kampuni ya Macron Kits inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya michezo leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na klabu ya Yanga.
Mkataba huo una thamani ya karibu Bilioni tatu (Mil 932 kwa mwaka).
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesaini mkataba huo leo mbele ya waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam.
kampuni hiyo ndio itakayotengeneza jezi rasmi za klabu ya Yanga kwa muda wote wa mkataba
Hivi karibuni Kampuni hiyo iliingia mkataba wa aina hiyo na shirikisho la soka nchini TFF kutengeneza jezi kwa ajili ya timu ya wakubwa, Taifa Stars na zile za wanawake pamoja na vijana.
Mkataba huo wa miaka miwili una thamani ya Mil 800.
Mkwasa ameishukuru kampuni hiyo kwa kuidhamini Yanga na amezialika kampuni nyingine zenye nia ya kufanya biashara na Yanga.

ADVERTISE HERE