Viingilio Yanga vs Ihefu Fc, kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2021
Viingilio Yanga vs Ihefu Fc, kombe la FA

Kesho Jumatano majira ya saa moja usiku burudani inarejea pale uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Yanga itakaposhuka uwanjani kuikabili Ihefu Fc katika mcbezo wa raundi ya tatu kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na VIP A ni Tsh 15,000/-

Baada ya kuikosa kosa Simba Jumamosi, vijana wa Nasreddine Nabi wamepania kuwapa furaha mashabiki wao kwenye mchezo huo ambao mshindi atasonga mbele raundi ya nne ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’