Happy Birthday Boxer

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2021
Happy Birthday Boxer

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer'

Boxer ni kijana aliyekulia katika misingi ya Yanga akianza kuitumikia timu ya vijana kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza na Mwinyi Zahera wakati akiwa kocha mkuu

Ushindani wa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ndio unaomfanya Boxer asionekane lakini ni mmoja wa vijana wapambanaji ambao ni hazina kubwa kwa Yanga

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu kwake

HAPPY BIRTHDAY BOXER...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’