FT : Yanga 4-0 Ihefu Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2021
FT : Yanga 4-0 Ihefu Fc

Wananchi wametinga raundi ya nne ya michuano ya kombbe la FA wakiibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu Fc

Ulikuwa usiku wa Heritier Makambo ambaye amewakumbusha Wananchi kuwa yupo na makali yake katika kuzifumania nyavu yako palepale

Makambo ameondoka na mpira leo baada ya kuweka kambani mabao matatu, huku Khalid Aucho nae akifunga moja ya mabao bora usiku wa leo

Ulikuwa ni mchezo kati ya Wanaume na Wavulana, Ihefu Fc walikabiliana na timu iliyokuwa bora sana

Wananchi wanasonga mbele raundi ya nne ya michuano hiyo ambayo ni hatua ya 32 bora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’