Mayele ajumuishwa kikosi kinachosafiri Sumbawanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2021
Mayele ajumuishwa kikosi kinachosafiri Sumbawanga

Mshambuliaji hatari wa Yanga Fiston Mayele ni miongoni mwa wachezaji wanaosafiri mkoani Rukwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Mayele alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa wiki iliyopita na kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Mshambuliaji huyo raia wa DR Congo afya yake imeimarika na yuko tayari kuwakabili Tanzania Prisons, Jumapili Disemba 19 pale uwanja wa Nelson Mandela

Wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya msafara ni pamoja na Kibwana Shomari, Yusufu Athumani na Yacouba Songne ambao ni majeruhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’