Bangala kuwakosa Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2021
Bangala kuwakosa Prisons

Kiungo kiraka Yannick Bangala sio miongoni mwa wachezaji waliosafiri mkoani Rukwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Nelson Mandela

Bangala ameachwa jijini Dar es salaam baada ya kuugua homa na mafua. Kipindi hiki watu wengi jijini Dar es salaam wamekabiliwa na changamoto hiyo

Ameungana na Kibwana Shomari, Yusufu Athumani na Yacouba Songne ambao ni majeruhi

Kibwana na Yusufu wanatarajiwa kusafiri Tunisia kwa ajili ya matibabu zaidi

Kikosi cha Yanga kilitua mkoani Mbeya jana jioni, ambapo leo wataelekea Rukwa tayari kwa mchezo huo wa kukata na shoka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’