Feisal Salum 'Fei Toto' jana alifunga bao lake la nne msimu huu sasa akiwa nyuma kwa tofauti ya bao moja dhidi ya kinara wa mabao Jeremiah Juma 'Mgunda' wa Tanzania Prisons mwenye mabao matano
Fiston Mayele anaweka kambani mabao matatu wakati mkongwe Said Ntibazonkiza na Jesus Moloko wao wamefunga mabao mawili kila mmoja
Khalid Aucho, Mukoko Tonombe 'Teacher' na Djuma Shabani wao wameweka kambani bao moja kwa kila mmoja
Yanga imefunga jumla ya mabao 14 na kuruhusu mabao matatu tu
Imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kujikusanyia alama 23, alama tano dhidi ya Simba inayofuata katika nafasi ya pili
ADVERTISE HERE