Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea Sumbawanga ambako jana walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons
Yanga imerejea kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Disemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa



ADVERTISE HERE