Kila la kheri Ramadhani Kabwili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2021
Kila la kheri Ramadhani Kabwili

Uongozi wa Yanga umemkabidhi rasmi barua mlinda lango Ramadhani Kabwili kumruhusu kuachana nae baada ya mkataba wake kumalizika

Baada ya kuitumikia Yanga kwa takribani misimu minne, umefika wakati kwa Kabwili kwenda kusaka changamoto mahali pengine

Hii ni nafasi kwake kupata timu ambayo itampa nafasi ya kucheza mara kwa mara na hivyo kulinda kipaji chake

Umri wake bado mdogo hivyo bado ana miaka mingi sana ya kukitumia kipaji chake

Yanga haikumfungia milango pengine wakati mwingine anaweza kurejea tena

Imekuwa sio rahisi kwake kupata nafasi ya kucheza mbele ya Djigui Diarra na Erick Johora ambao kwa wakati huu ndio wanapewa kipaumbele zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’