Kiungo Papi Kabamba Tshishimbi hayumo kwenye kikosi cha Yanga kinachoivaa Mwadui FC leo baada ya kupata ugonjwa.
Imeelezwa Tshishimbi ameamka na maradhi leo hivyo kumfanya aondolewe kwenye kikosi kinachoivaa Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 13.
Katika kikosi hicho, Said Juma 'Makapu' anakaimu majukumu ya Tshishimbi akishirikiana na Pius Buswita sehemu ya kiungo.

ADVERTISE HERE