Yanga Princess yaanza kwa ushindi Dodoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2021
Yanga Princess yaanza kwa ushindi Dodoma

Mabao mawili yaliyowekwa kambani na Aisha Masaka, yameisaidia Yanga Princess kuondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Baobab Queens katika mchezo wa kwanza msimu huu ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite

Yanga Princess walilazimika kusubiri hadi kipindi cha pili, Masaka akiendeleza kasi yake ya kutupia mabao aliyomaliza nayo msimu uliopita

Alifunga bao la kwanza kwenye dakika ya 49 na kuongeza la pili kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika za majeruhi

Yanga Princess itaendelea kubaki mkoani Dodoma ambapo Disemba 28 watashuka tena uwanja wa Jamhuri kuikabili Fountain Gate

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’