Adeyum atua Geita Gold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2021
Adeyum atua Geita Gold

Aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga Adeyum Saleh amesajiliwa na klabu ya Geita Gold

Adeyum ameondoka Yanga baada ya mkataba wake kumalizika

Anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Geita Gold akitokea Yanga katika usajili wa dirisha dogo

Alitangulia Ditram Nchimbi ambaye naye alitua Geita Gold baada ya mkataba wake kumalizika

Kila la kheri katika majukumu mapya...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’