Wakati leo ikiwa maadhimisho ya Sikukuu ya Christmas, siku kama ya leo alizaliwa winga hatari wa Yanga Jesus Moloko
Jina la Jesus alipewa na wazazi wake baada ya kuzaliwa Disemba 25, siku kubwa ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo
Winga mwenye usumbufu dimbani akiwa amepachika mabao mawili kwenye ligi msimu huu
Wananchi wana imani nae, matarajio yao ni makubwa kwake, katika msimu huu ambao Yanga imepania kurejesha ubingwa wa ligi kuu Jangwani baada ya kuukosa kwa misimu minne
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY MOLOKO..!
ADVERTISE HERE