Baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi 17, mashabiki wa Yanga leo wanaweza kumuona dimbani kiungo Mapinduzi Balama
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa Balama atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku
Nyakati ngumu zinapita! hatimaye Balama anaweza kurejea uwanjani na pengine utakuwa mwanzo mzuri kwake katika kurejea kikamilifu
Karibu tena fundi wa mpira...!
ADVERTISE HERE