Wachezaji watatu wa Yanga Mukoko Tonombe, Yannick Bangala na Djuma Shabani wameitwa timu ya Taifa ya DR Congo inayokwenda kuweka kambi Abu Dhabi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za play-off kufuzu kombe la Dunia
Nyota hao watacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji ljumaa hii kisha wataondoka nchini kurejea Dar Congo.
Ni wazi watakosekana kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yatakayoanza Januari 2 mwakani visiwani Zanzibar
Kocha wa timu ya taifa ya Congo, Hector Cuper amewaita wachezaji hao watakaoungana na wenzao 24 hivyo timu hiyo kuwa na wachezaji 26 watakaosafiri kwenda kuweka kambi Abu Dhabi kuanzia jana hadi Januari 7
ADVERTISE HERE