Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, leo wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi walipata fursa ya kufanya manunuzi kwenye maduka ya GSM
Imekuwa kawaida kwa GSM kuwapa wachezaji ofa za aina hiyo kila nyakati za sikukuu na matukio muhimu









ADVERTISE HERE