Keshokutwa Ijumaa Yanga itafunga mwaka 2021 kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni mchezo muhimu ambao kama Yanga itaibuka na ushindi itaendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nane dhidi ya watani zao Simba ambao Januari mosi 2022, watacheza na Azam Fc
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi jana aliwapeleka vijana wake Gym kuweka miili yao sawa baada ya ushindi dhidi ya Biashara United

ADVERTISE HERE