Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze akiwa sambamba na kiungo Saido Ntibazonkiza jana walishiriki zoezi la kutoa misaada katika kituo cha watoto yatima Buyenzi, nchini Burundi
Kaze na Saido wametumia wakati huu wa mapumziko kurejea kwao Burundi na kuendeleza utamaduni wa Yanga wa kurejesha furaha kwa Wananchi


ADVERTISE HERE