Yanga imetambulisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Crispine Ngushi
Ni usajili ambao haukuwa na tetesi nyingi, lakini ni miongoni mwa mapendekezo ya kocha Nasreddine Nabi
Ngushi anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Yanga katika dirisha dogo akiungana na Abdultwalib Mshery, Abubakar Salum na Denis Nkane
Ngushi ameifungia Mbeya Kwanza mabao matatu katika ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE