Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo
Makambo amereja Yanga misimu miwili tangu alipoondoka Mwaka 2019 kujiunga Horoya AC
Bado wananchi hawajapata kile wanachokihitaji kutoka kwake lakini hakuna shaka, muda utazungimza
Tunamtakia Kila la kheri katika cku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY MAKAMBO...!
ADVERTISE HERE