Wachezaji wa Yanga waliokuwa mapumziko wanatarajiwa kuwasili visiwani Zanzibar leo kuungana na wenzao katika michuano ya kombe la Mapinduzi
Wachezaji hao ni, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Fei Toto, Farid Musa, Saido Ntibazonkiza na Jesus Moloko
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema wachezaji hao tayari wapo njiani kuelekea visiwani humo kujiunga na wachezaji wengine katika harakati za kuhakikisha wanatetea Kombe la Mapinduzi
ADVERTISE HERE