Leo ni Yanga vs Azam Fc, nusu fainali kombe la Mapinduzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2022
Leo ni Yanga vs Azam Fc, nusu fainali kombe la Mapinduzi

Mabingwa watetezi michuano ya kombe la Mapinduzi, Yanga leo wanashuka dimba la Amaan, kuwakabili Azam Fc kusaka tiketi ya kutunga fainali ya michuano hiyo

Ni kama marudio ya nusu fainali ya mwaka jana ambapo Yanga lifanikiwa kutinga fainali kwa ushindi wa mikwaju ya penati

Yanga imepania kwelikweli kutinga fainali kikosi chake kikiongezwa nguvu baada ya kurejea kwa baadhi ya wachezaji waliokosekana katika michezo iliyopita

Yannick Bangala, Fiston Mayele na Saido Ntibazonkiza waliwasili mapema jana na jioni wakashiriki mazoezi ya mwisho

Wakati nyota wengine Mukoko Tonombe, Khalid Aucho, Djuma Shabani wanatarajiwa kuwasili leo kuungana na wenzao

Ni mchezo wa mapema ambao utapigwa kuanzia saa 10:15 jioni ambapo kaimu kocha mkuu Cedric Kaze amesema wanatarajia mchezo wenye upinzani mkali

Kila la kheri Wananchi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’