Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi, wakitolewa na Azam Fc katika hatua ya nusu fainali
Wananchi wamerejea kujiandaa na michezo inayofuata ligi kuu na kombe la FA







ADVERTISE HERE