Ni Chico, Phiri au mwingine? itafahamika leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2022
Ni Chico, Phiri au mwingine? itafahamika leo

Wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa leo, jana uongozi wa Yanga kupitia Afisa Mhamasishaji Haji Manara uliweka bayana kuwa leo watamtangaza nyota wa kigeni ambaye amesajiliwa katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo

Wengi wana shauku ya kumfahamu nyota huyo lakini viongozi wamesisitiza ni vyema kusubiri taarifa rasmi

Nyota wawili wanaotajwa zaidi ni winga wa TP Mazembe na timu ya Taifa ya DR Congo Chico Ushindi na mshambuliaji wa Zanaco Moses Phiri

Aidha hata tetesi zinazomuhusu kiungo Mukoko Tonombe kuhusishwa katika usajili wa Ushindi hazina uthibitisho kwani hakuna kiongozi wa Yanga aliyekuwa tayari kuzungumza wakisisitiza ni vyema kusubiri taarifa rasmi

Manara amesisitiza ni usajili mkubwa, kwa mara nyingine GSM wakifanikisha ujio wa mchezaji huyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’