Walinzi wa Yanga Kibwana Shomari na Abdallah Shaibu 'Ninja' wamefanyiwa upasuaji mdogo kutibu majeraha yanayowakabili
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa upasuaji huo ulikuwa na mafanikio ambapo wachezaji hao watakuwa nje kwa muda mfupi
Yanga imewatakia uponaji wa haraka ili waweze kurejea katika majukumu yao

ADVERTISE HERE