Klabu ya TP Mazembe imethibitisha kuondoka kwa aliyekuwa winga wao Chicco Ushindi wa Kubanza anayehusishwa kujiunga na Yanga
Kupitia Mazembe TV, wababe hao wa soka DR Congo wamethibitisha kuwa Ushindi anatarajiwa kusaini mkataba mpya katika moja ya klabu huko Tanzania
Yanga inatarajiwa kutangaza usajili wa nyota huyo wakati wowote kuanzia sasa
Aidha, ujio wa Ushindi huenda ukamuhusisha kiungo Mukoko Tonombe ambaye anaweza kusajiliwa na TP Mazembe kama sehemu ya makubaliano ya uhamisho huo
ADVERTISE HERE