Karibu kwa mabingwa wa kihistoria winga Chicco Ushindi kutoka TP Mazembe. Mahusiano mazuri ya Yanga na wachezaji kutoka DR Congo kwa mara nyingine yamerahisisha usajili wa winga huyu ambaye kwa mapenzi yake mwenyewe akaiomba TP Mazembe imruhusu atue kwa Wananchi
Lakini pia Yanga imempata Milton Nienov kocha mahiri wa makipa kutoka Brazil
Milton alikuwa kocha wa makipa wa Simba kwenye benchi la ufundi la makocha Didier Gomes na Sven Vandenbroeck


ADVERTISE HERE