Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka mkoani Tanga kuelekea Arusha kwa ajili ya kambi maalum kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Polisi Tanzania
Mchezo huo utapigwa Januari 23 katika uwanja wa Ushirika, Moshi
Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu ili kujiimarisha katika mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu






ADVERTISE HERE