Yanga kuikabili Mbao Fc hatua ya 32 bora ASFC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2022
Yanga kuikabili Mbao Fc hatua ya 32 bora ASFC

Droo ya hatua ya 32 michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefanyika jijini Dar es salaam leo ambapo vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga wamepangwa kucheza na Mbao Fc kutoka Jijini Mwanza

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Januari 27 na 31

Mshindi wa mchezo huo atajihakikishia kutinga hatua ya 16 bora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’