Mukoko anabaki, dili la kutua TP Mazembe lakwama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2022
Mukoko anabaki, dili la kutua TP Mazembe lakwama

Kiungo Mukoko Tonombe anatarajia kusafiri mkoani Arusha kuungana na kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa January 23 latika uwanja wa Ushirika

Mukoko alibaki jijini Dar es salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kujiunga na TP Mazembe hata hivyo mchakato huo umekwama, imefahamika

TP Mazembe na Mukoko wameshindwa kufikia makubaliano juu ya maslahi yake huku Mukoko mwenyewe akiwa bado anapenda kuendelea kuitumikia Yanga mpaka pale mkataba wake utakapomalizika

Baada ya Mukoko kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed 'The Big Boss', amehakikishiwa kuwa ataendelea kubaki mpaka mkataba wake utakapomalizika na kuwa mazungumzo ya mkataba mpya yanaweza kufanyika mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’